Kwanza mapenzi safari
Ujana ni maji ya Moto
Walinenaga zamani
Pili tumetoka mbali
Kwa matatizo changamoto
Tuvisa visa fulani
Oh tatu kidonda chako kwangu maradhi
Moyoni usononekapo kwangu simanzi
Oh tatu kidonda chako kwangu maradhi
Moyoni usononekapo kwangu simanzi
Kwa mahaba Ulionipa
nimenogewa
Vurugu patashika
Ah punguza kidogo
Na mengine kadhalika
Mtoto si unanielewa
Apo apo uliposhika
Ukiongeza kidogo
Mwenzako ntaumia
(You're my number one)
My sweety-sweety
(My number one)
My baby oh
(You're my number one)
My darling
(My number one)
Oh roho yangu mama
Na nina wivu sikatai
Maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai
Ukaacha kuzama ukanizingua
Na nina wivu sikatai
maana uchungu wa mapenzi naujua!
So usije kunilaghai
mwenizio naogopa
Now show me how they do
Ngololo ah ngololo ah ngololosa... aikolo
Oh baby show me how you do
Gololo ah gololo ah gololosa
(You're my number one)
My sweety-sweety
(My number one)
My baby oh
(You're my number one)
My darling
(My number one)
Oh roho yangu mama
Ah oh baby you are
Oh baby your are
Now show me how they do
Ngololo ah ngololo ah ngololosa... aikolo
Now show me how you do
Na... Watuache tulale